Mkurugenzi wa Taasisi ya TMHS Dr Chakou Halfani amesema katika maswala ya mazingira watawashirikisha watu wenye Ulemavu mbalimbali .Lengo watu wenye Ulemavu waweze kuzitambuwa na kuzichangamkia fursa mbalimbali zinazotokana na taka pia waweze kujikinga na kujikinga na hathari za taka katika miili Yao
No comments:
Post a Comment