Thursday, 6 August 2020

MJASILIA MALI SARAH ADUMISHA UTAMADUNI WA KITANZANIA

Bi Sarah ni Mjasilia Mali anaeuza Urembo wa Aina mbalimbali wenye Mahadhi na Utamaduni wa kitanzania Chemical za kuvaa shingoni ,Vikuku na Shanga na Urembo WA kuvaa mkononi kama vinavyoonekana  pichani anapatikana katibu na Msikiti wa Tungi Temeke jijini DSM nivyema watanzania na wasio watanzania kununua Bidhaa sale kwaajili ya kuuenzi,kulinda,na kujitangaza Utamaduni wetu Kitaifa na Kimataifa Kwa Mawasiliano 0714247174 



Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment