Mtia nia nafasi ya Ubunge Kwa tiketi ya NCCR Mageuzi amewataka Wakazi wa Jimbo la Kawe ifikapo tarehe 28 Mwezi 10 mwaka 2020 Wakazi wa Kawe wampe Kura za kutosha na za kishindo ili awe Mbunge wao kupitia NCCR Mageuzi .kwani Wana Kawe maisha Yao yamekuwa duni na ata miundombinu Yao si Bora pia wamejiajili huduma mzuri za Afya . Wamchague Martha Raphael Chiomba ili awatatulie changamoto za Wana Kawekuwaletea furusa mbalimbali ili wainuke kiuchumi na aweze kujenga Hospitali na vituo vya Afya vya kutosha .amesema haya kwenye Mkutano Mkuu wa NCCR Mageuzi
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment