Baba Askofu kutoka Zanzibar amewataka viongozi wa Vyama vya Siasa kufanya Kampeni za kistaarabu ambazo azitakuwa na rugha za matusi,kejeri na ubaguzi .Pia amevitaka vyombo vya Urinzi na Usalama pamoja na Tume ya Uchaguzi kusimamia haki wakati wa Uchaguzi .ametoa wito Kwa viongozi wa wa Dini mbalimbali na Mabarozi wa Amani kutoa elimu namafunzo Kwa waumini wao katika kulinda Amani kipindi hiki cha Uchaguzi amesema haya kurasini Makao Makuu ya Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania
No comments:
Post a Comment