Rudoviki Uto amesema rushwa ina madhara makubwa ambako unafanya mtu kukosa haki,kuzorota Kwa demoksia na wananchi kukosa Maendeleo ivyo amewataka watu wote nchini kupinga,kuzuia na kupambana na rushwa kwaajili ya Maendeleo ameupongeza Uongozi wa Chuo cha KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE kufanya kongamano kuusu rushwa kwani wameweza kuwajengea uwezo washiriki jinsi ya kupambana na kuzuia rushwa na namna ya kutambua madhara ya kupokea na kutoa rushwa amewataka washiriki kuwa mabarozi katika kupambana na rushwa amesema haya KIGAMBONI jijini Dsm
No comments:
Post a Comment