Filipo ni Kijana ambaye alikuaa anaishi kwenye mazingira magumu ya mtaani .ameushukuru Uongozi wa shirika la BABA WATOTO kwa kumpa fursa ya kumpeleka Gereji na kumpa elimu ya kutotumia madawa ya kulevya,bangi na vileo vingine vya hatari ametoa wito kwa vijana kutokata tamaa na badala yake wachangamkie fursa mbalimbali zinazotolewa na shirika la BABA WATOTO na serikali amesema haya kwenye semina iliojumuisha vijana na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu ya mtaani
Amesema haya kwenye kilele cha siku ya vijana Duniani ambako uadhimishwa tarehe12 Kila mwakaHabari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment