Wednesday, 5 August 2020
WANA MANYOVU KUIONJA JOTO YA JIWE NA KUKIPATA CHAMTEMA KUNI KILICHOMTOA KANGA MANYOYA ENDAPO WAKIOCHAGUA CCM
Sendwe Ibrahim ni Mgombea wa Ubunge Jimbo la Manyovu Mkoani Kigoma kupitia Chama cha ACT Wazalendo amewataka Wana Manyovu Kutokuwa makosa Kwa kuichagua CCM kwani Amna mazuri waliofanya Bali ni mateso na kuwapongeza dhiki na mateso watu wa Manyovu ndio maana Maisha yao yamekamilika duni kipesa,kimiundimbinu na kukosekana huduma za msingi. Sendwe amewataka Wana Manyovu ifikapo tarehe 28 Mwezi 10 mwaka 2020 watu wa Manyovu wamchague Kwa Kula nyingi zakutosha za kishindo ili awe Mbunge wao awatatulie matatizo yote ya Manyovu kupitia Chama cha ACT Wazalendo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment