Tuesday, 11 August 2020

MAZAUJI YAJA NA TAMASHA KUBWA NA ZITO JIJINI DSM

 Mratibu wa Taasisi ya MAZAUJI Selemani amewataka watanzania nawasio watanzania kujitokeza Kwa wingi tarehe 6 Mwezi 9/2020 hotel ya Ubungo Plaza kutatuwa na waimbaji wa Kaswida Kwa mtu mmoja1 elfu 20000 kutatuwa na chai na Chakula cha mchana


Habari na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment