Monday, 3 August 2020

JUSA WA ACT WAZALENDO AMTIA KIDOLE CHA MACHO NA KUMSHIKA PABAYA MUSA HAJI KOMBO WA CUF


Mjumbe wa Chama cha ACT Wazalendo Ismail Jusa amesema Chama chake kitashinda nafasi ya Urais Nzazibar kwani Maalim Sefu anakubalika asilimia Mia moja  100 Kwa Wanzazibar amekizodoa Chama cha CUF na kukibeza Kwa kumpa nafasi Musa Haji  Kombo Kuwania nafasi ya Urais Nzazibar kwani awatashinda CUF kwakuweza Musa Haji Kombo atoshi wala akubariki ata  chembe Kwa Wanzazibar kwani alishagombea nafasi za Ubunge lakini akupata Kura haya moja sembuse Uras.   Uku akikitadharisha Chama cha Mapinduzi CCM huu no mwisho wao wa kuiongoza  Nzazibar maana Wanzazibar wamechoshwa na uonevu,ukandamizwaji,kukosekana Kwa ajira na Uchumi wao kuporomoka hivyo chaguo Lao ni Chama cha ACT Wazalendo ifikapo tarehe 28 Mwezi 10 mwaka 2020 . Amesema haya kwenye hotel ya Lamada Ilala jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment