Zaituni Yahaya anaushukuru uongozi wa shirika la BABA WATOTO Kwa kufungua ndoto zake na kuokoa maisha yake kwani yeye Kijana aliekuwa anaishi mazingira magumu ya mtaani .Lakini shirika la BABA WATOTO limempa elimu ya kujitangaza na kufahamu haki zake za msingi .pia imempa Taaluma ya ushonaji nguo ambayo anaitumia katika kujiingizia kipato amesema haya siku ya kilele cha siku ya vijana ambako uadhimishwa Kila tarehe12 Kila mwaka
No comments:
Post a Comment