Tuesday, 11 August 2020

MBUNGE JOSEFU SERASINI ATOA NENO KWA WAKAZI WA ROMBO

Mbunge aliemaliza muda wake jimbo la Rombo Josefu Serasini amesema ameingia chama cha NCCR Mageuzi kwani ni chama makini kinachotekeleza Itikadi ya Hutu kwa vitendo. Amewataka watu  waishio Rombo ifikapo tarehe 28 mwezi 10/2020 wamchague awe Mbunge wao  kwani anataka kuyaendeleza yale mazuri aliofanya .mfano ujenzi wa miundombinu a,masoko, hospital na upatikanaji wa maji safi na salama 

Habari picha na Victoria  Stanslaus
 

No comments:

Post a Comment