Thursday, 6 August 2020

TAASISI YA MAMA ALASKA JAMII KUWAFIKIA MAMALISHE NA BABA LISHE ELFU TATU 3000

Hans Warioba  wa Taasisi ya MAMA ALASKA JAMII amesema mpaka sasa wamewafikia Mama Lishe na Baba Lishe elfu 323 Kwa Mkoa wa Dsm Kwa Wilaya ya Ilala,Temeke na Kinodoni a ambako  wamewafikia Mama ya  ya kutunza kumbukumbu za fedha na namna ya kufanya biashara ya Chakula yenye ubora na yenye tija  ili wainuke kiuchumi Hans amesema elimu waliotoa Kwa Mama Lishe  na Babalishe imeoneaha mafanikio makubwa kwenye sekta hii ambako Kwa sasa wamewafikia ivi sasa watawafikia Mama lishe na Baba Lishe Kwa Wilaya ya Kigamboni na Ubungozaidi ya elfu tatu300 ambao wamelenga Kuwafikia amesema haya kwenye wakati wa ugawaji wa vitambulisho vya Magufuli Kwa Babalishe na mamalishe Ukumbi wa  Anatogo Mmoja jijini Dsm
 
Habari picha na Ally Thabiti 

No comments:

Post a Comment