Wednesday, 26 August 2020

MKURUGENZI WA BARAZA LA MAZINGIRA AIPONGEZA TAASISI YA MTHS

 Mkurugenzi wa Baraza la Mazingira Tanzania (NEMC) Dr  Eng Gwamwaka  amesema kitendo cha taasisi ya TMHS Kuwakutanisha wadau wa mazingira kujadili na kuweka mikakati ya kupunguza taka nchini ni kizuri kwani Kinatoa fursa ya watu kupata ajira kupitia taka ,kupunguza gharama za kuagiza Mali ghafi kutoka nje ya nchi huku mi kumuunga mkono rais Magufuli kufika Tanzania ya Viwanda 

Habari picha na Victoria Stanslaus


No comments:

Post a Comment