Wednesday, 5 August 2020

MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA MKINGA KUPITIA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KUNUSULU VIFO VYA KINA MAMA NA WATOTO WAKATI WA KUJIFUNGUA

Rehema Ally Mhammedi amewataka wapiga Kura wa Jimbo la Mkinga Mkoani Tanga ifikapo tarehe 28 Mwezi 10 mwaka 2020  wampigie Kura za kutosha kwenye nafasi ya Ubunge ili aweze kujenga Zahanati,Vituo vya Afya na Hospitali  . Lengo mama wajawazito wajifunguwe Kwa Usalama pia atawezesha sekta ya Elimu Kwa ujenzi wa madarasa na mabweni na kumtua mama ndoo kichwani kwakusaidia kupatikana maji Safi na salama amewataka watu wa Tanzania bara na Nzazibar wakipigie Kura za kutosha Chama cha ACT Wazalendo Kwa Wagombea wao wote


Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment