Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema kitendo cha CRDB BANK kuanzisha CRDB MARATHON kwa lengo la kukusanya fedha kwaajili ya kusaidia kwenye Ugonjwa wa Ini,utunzaji wa mazingira jijini dsm Kwa kupanda miti Goba na kukabidhi milioni mia mbili kwenye Taasisi ya Jakaya Kikwete ya Moyo ili fedha zikatumike kugharamia matibabu ya Upasuaji wa Moyo Kwa Watoto Mia moja wa kitanzania ni Jambo jema .
CRDB BANK Kwa kushirikiana na taasisi zingine wameweza Kuondokana Uzuni Kwa Watoto na kurudisha Tabasam lililopotea Kwa kukosa fedha za Upasuaji wa Moyo Kwa Watoto na kunusuru maisha Yao ambako wangekufa Kwa kukosa fedha za Upasuaji . Amewataka CRDB BANK waendelee na MARATHON hizi wasiishie hapa ametoa wito Kwa taasisi zingine kushirikiana na CRDB BANK katika kuokoa maisha ya Watoto na wawaige CRDB Kwa walivyofanya amesema haya kwenye CRDB BANK MARATHON jijini Dsm Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment