Wednesday, 12 August 2020

ALFAYO WANGWE AAHIDI MAZITO SIKU YA VIJANA DUNIANI

Mkurugenzi wa Miradi wa shirika la BABA WATOTO  Alfayo Wangwe amesema wataendelea kuwajengea uwezo na kuwapa maarifa mbalimbali vijana na watoto waishio kwenye mazingira magumu mtaani .Lengo waweze  kujitokeza na kujikwamuwa kiuchumi mpaka sasa vijana wengi wameweza kuwafutia furusa mbalimbali za Ajira na wamewashukuru  elimu ya Afya na wameondokana na makundi hatarishi  amesema haya siku ya vijana  Duniani ambayo uadhimishwa tarehe12 Mwezi wa 8/Kila mwaka 

Habari picha na Victoria Stanslaus
 

No comments:

Post a Comment