MBUDIFO
Tuesday, 11 August 2020
NCCR MAGEUZI YAPATA MGOMBEA URAIS TANZANIA BARA
Jeremia ni Mtia katika kinyang'anyiro cha Uraisi kupitia Chama cha NCCR Mageuzi ameahidi kutekeleza Kwa Vitendo hitikadi ya Utu na amesema atafanya mambo Mazuri na makubwa Kwa kujenga Hospitali,shule na mabweni, majisafi na salama ili kumtua ndoo mama kichwani ,miundombinu ya barabara na ajira wa watu wenye ulemavu na makundi mengine Pia wazee kupata bima za Afya bule na Umeme amesema haya kwenye mkutano Mkuu wa NCCR Mageuzi
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment