Sunday, 16 August 2020

KAMPUNI YA ASASI USO KWA USO NA CRDB BANK

 Mwakirishi wa Kampuni ya Maziwa ya ASASI Sulemani amesema kitendo cha CRDB BANk kuanzisha CRDB MARATHON ni Jambo la kuungwa mkono na kuingwa na taasisi zingine . Kwani mazoezi yanasaidia kuimarisha  Afya za watu na kufanya watu kuondokana na Magonjwa mbalimbali .Pia CRDB MARATHON imewezesha kupatikana Kwa fedha Milioni Mia mbili 200 .000,000kwaajili ya Kugharamia matibabu ya Moyo Kwa Watoto Mia 100 amesema haya kwenye CRDB BANK MARATHON ambazo zimefanyika jijini Dsm 

Habari picha na Victoria Stanslaus


 

No comments:

Post a Comment