Zito Zubeli Kabwe amefika kwenye Viwanja vya hotel ya Lamada iyopo Ilala jijini DSM kwaajili ya kuweka mikakati na Mipango ya uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 28 Mwezi 10 mwaka huu 2020 na Wajumbe wa Halmashauri Kuu
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment