Mwantum ni Mama Lishe kutoka Mtaa wa Gerezani amesema wanaushukuru uongozi wa Mkoa wa Dsm Kwa kuwapa vitambulisho vya Magufuli .amemuomba uongozi huu waendelee kuwafutia furusa mbalimbali Pia amemshukuru Jenifa Bashi Kwa kuwatengenezea mazingira rafiki ya biashara ya Chakula kwani Mamalishe na Babalishe kwasasa wanathaminiwa na kujaliwa pia wameweza kuimarisha kibiashara na kiuchumi kupitia taasisi ya MAMA ALASKA JAMII
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment