Al Hadi Musa Salim shee Mkuu wa Dsm na kwenyekiti wa Amani Tanzania amesema anampinga Mgombea Urais wa Chama cha CHADEMA Tundu Lisu Kwa kusema Wagombea wao wakienguliwa wataandamana ivyo anamtaka Tundu Lisu Kwa kulinda Amani ya Tanzania awe mpole akubali matokeo yatakayotolewa na Tume ya Uchaguzi Mkuu amewaagiza wenye Viti wa Amani wa Mikoa watoe elimu kwaajili ya Uchaguzi amesema haya kwenye Mkutano wa viongozi wa Dini na Mabarozi wa Amani Kurasini
No comments:
Post a Comment