Wednesday, 19 August 2020

TUME YA UCHAGUZI YASIKILIZA KILIO CHA WATU WENYE ULEMAVU

 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Semisteus Kaijage amesema wameweza kuandikisha watu wenye Ulemavu elfu 13 Wasiio Ona elfu2200 Wenye Ulemavu wa mikono elfu 4 na Ulemavu mwingine wakiwemo wenye hualbino Watu wenye Uziwi . Pia Time imetoa vibari Kwa Asasi za watu wenye Ulemavu ili watu wenye Ulemavu wapewe elimu ya kupiga Kura,yameandaliwa Maandishi ya Nukta Nundu kwaajili ya wenye Ulemavu wa Kutokiona Ona waweze kupiga Kura Kwa Uraisi 

Swala la Wakarmani wa lugha na Vifaa vya wenye Ulemavu wa Viungo vya Miguu vipo wakati wa kupiga Kura  tarehe 28 Mwezi 10 mwaka 2020  .Tume imetoa wito Kwa watu wenye Ulemavu kushiriki kusikiliza kampeni za Wagombea na kujitokeza Kwa wingi tarehe 28 Mwezi 10 .kupiga Kura kwaajili ya kumchagua Viongozi wanaowataka kwani Time imeweka mazingira rafiki Kwa wenye Ulemavu na makundi mengine


Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment