Musa Kabimba Katibu Mkuu wa Chama cha watu wenye Uhalbino Tanzania ameupongeza uongozi wa Tume ya Uchaguzi Tanzania Kwa kuwashirikisha watu wenye Ulemavu na makundi mbalimbali kushiriki kwenye Uchaguzi wa mwaka huu katika kumchagua Viongozi Bora . Ametoa wito Kwa Tume ya uchaguzi kuendeleza kushirikiana na watu wenye Ulemavu katika Shughuri mbalimbali za Kitaifa
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment