Aliye kuwa Mbunge wa Msoma Mjini Joyce Sokombi amewataka Wana Msoma Mjini ifikapo tarehe 28 Mwezi 10 mwaka 2020 wamchague Kwa Kura nyingi na zakutosha ili awe Mbunge wao kupitia Chama cha NCCR Mageuzi amesema swami akimaliza ya Ubunge wake ameweza kutatua changamoto mbalimbali ivyo wampe nafasi Ingine aendeleze kuwafanyia mambo mazuri na mema Wanamsoma Mjini ikiwemo kuwainua kiuchumi ,kuwaunga Isha na taasisi mbalimbali za kifedha kwaajili ya Mikopo nafuu na isiyokuwa na Tiba,ujenzi wa wituo vya Afya ili Kunusuru vifo vya wakina mama na watoto wakati wa kujifungua ,ujenzi wa madarasa na mabweni kwaajili ya kuongeza ufauru Kwa wanafunzi wa Musoma ,ujenzi wa miundombinu ya barabara na Masoko na upatikanaji wa maji Safi na salama amewataka Wana Musoma wamuunge mkono na kumuamini awe Mbunge wa Musoma Mjini na wajiamini Chama cha NCCR Mageuzi
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment