Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo atimae amechaguliwa na wajumbe wake Kuwania nafasi ya Urais Nzazibar amesema wajumbe awakukosea kumpa nafasi hii kwani tarehe 28 Mwezi 10 mwaka 2020 yeye anashinda kwenye Uchaguzi mkuu na kuwa rais wa serikali ya Mapinduzi Nzazibar ameahidi kulinda na Kutetea ushindi wake .Kuibiwa na Kudhurumiwa Ushindi wake sasa basi amesema haya jijini DSM
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment