Monday, 3 August 2020

CUF KUPEWA KIBANO CHA MBWA KOKO MKOA WA WETE PEMBA

Juma Khamisi Ali Mwenyekiti wa Mkoa wa Wete Pemba amesema Chama cha ACT Wazalendo kitachukua majimbo matano 5 na Wadi Kimi na moja 11 kwenye Uchaguzi wa tarehe 28 Mwezi 10 mwaka 2020 ivyo amekionya Chama cha CUF kisisubutu kusimamisha Wagombea kwani akikubariki ata kidogo amesema haya kwenye Mkutano wa Wajumbe wa Halmashauri Kuu wa Chama cha ACT Wazalendo Lamada hotel iliopo Ilala jijini DSM



Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment