Mzee Josefu Butiku amesema mchakato wa kupata Wagombea CCM umegubikwa na rushwa amewataka walipo madarakani kwamba waache kuogopwa Kwa vitisho vyao kwani Urais aumfanyo mtu nchi aifanye yakwake na kuiongoza kibabe . Amevitaka vyama vya siasa ,jeshi la polishing,Usalama wa Taifa na Tume ya Taifa ya uchaguzi easier chanzo cha kuvunja Amani ya nchi na wasikichague Chama Chama cha CCM
No comments:
Post a Comment