Msanii wa Bongo Freva Sheta amewataka wenye vipaji vya kuimba wasisite kumuona Kwa ushauri na kumshirikisha kwenye nyimbo zao atafanya bure bila malipo .ameupongeza Kampuni ya PILIPILI Kwa kumlejesha kwenye Majilani ya Mziki ya Kizazi Kipya Richi Mavoko na amekishukuru CLOUDS Kwa kumtoa Richi Mavoko kwenye makucha ya Mabepari na Mabeberu walikuwa wakimnyonya Richi MavokoHabari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment