Mkurugenzi Mtendaji Henry Kazula wa Taasisi ya JIELIMISHE KWANZA amewataka watu nchini Tanzania watenge taka ili waweze kuziuza wapate pesa .Changamoto wanazozipata katika ujeleshwaji wa taka ni tabia za watu ,mifumo mibaya ,wananchi kutoka na uwelewa,gharama kubwa, uwajibikaji mdogo na Kanuni na Sera si rafiki .taasisi Yao inawapongeza uwezo kuusiana na maswala ya taka
No comments:
Post a Comment