Rashidi Abubakari Saluumu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo wa Mkoa .Mkoani Kusini Pemba amesema Chama cha CUF washakiuwa na kukizika Pemba ameahidi kwenye Mkoa wake kuna majimbo manner 4 . CUF awapata ata Jimbo moja kwenye ngazi zote amesema haya kwenye Mkutano wa Wajumbe wa Halmashauri Kuu wa Chama cha ACT Wazalendo kwenye hotel ya Lamada iyopo Ilala jijini DSM
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment