Tuesday, 11 August 2020

BASATA WAMPONGEZA RICH MAVOKO

Katibu Mkuu wa BASATA Godfrey Ngereza  amesema kitendo cha Rich Mavoko kuzindua Minitape yake kwani itamuongezea kipato amewataka wasanii wengine waige alichokifanya Rich Mavoko

Habari picha na  Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment