Thursday, 6 August 2020

JENIFA BASHI AUPONGEZA UONGOI WA MKOA WA DSM

Mkurugenzi wa Taasisi ya MAMA ALASKA JAMII Jenifa Bashi ameupongeza uongozi wa Mkoa wa Dsm Kwa kuwapa vitambulisho vya Magufuli Mama Lishe na Baba Lishe kwani vitambulisho ivi vitaweza thamani kubwa na kuweza kikopesheka kwenye taasisi mbalimbali za kifedha pia watapata furusa mbalimbali na watakuwa na Uhuru katika biashara zao za Chakula .Jenifa Bashi ameutaka uongozi wa Mkoa wa dsm na taasisi zingine kuwapa elimu Mama Lishe na Baba Lishe na namna ya kutunza kumbukumbu za fedha na kufanya biashara iliyopo na ubora amesema haya Ukumbi wa Anatogo Mnazi Mmoja jijini Dsm 


Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment