Joseph Mapunda Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui TCRA amesema waevionya na kuvipa hadhabu vyombo tisa 9 vya habari Kwa kukiuka kanuni za Maudhui ya Mtandaoni ya Kielekroniki na Posta CG A FM,Kiss FM Abood FM watatoa milioni tano 5,000,000.00, Triple A FM watatoa milioni tano,Wasafi Media Online TVwatatoa mimioni tano kwa kuwapigia kampeni wagombea wa Ubunge na Udiwani Viti Maalum .huku Clouds FM kipindi chao cha Jahazi kikifungiwa nao Carry Mastery Media Ltd wakitozwa milioni tano Kwa kuamasisha mapenzi ya jinsi moja .Joseph Mapunda ametoa wito Kwa vyombo vya habari nchini Tanzania kupitia Upya Mikataba Yao ya Ushirikiano na vyombo vya nje Lengo watendaji na Kanuni mpya za TCRA ili wasipate hadhabu za mara Kwa mara au kufutiwa Reseni zao
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment