Juma Duni Haji amesema Wanzazibar wanakipenda na kukitaka chama cha ACT Wazalendo kushika dora na ifikapo tarehe 28 mwezi 10 /2020 kura zote za Urais watampa Maalim Sefu amewataka CCM wajiandae kisaikolojia kwa kipigo na kibano cha paka mwizi amesema haya alipoudhuria kwenye Mkutano Mkuu wa NCCR Mageuzi
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment