Monday, 3 August 2020

KATIBU WA ACT AWASHA MOTO

Twaa Rashidi Katibu wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dsm amevitaka vyama vya siasa nchini Tanzania viungane hili waweze kukiondoa madarakani Chama cha Mapinduzi CCM pia amesema no Vema Kwa nafasi ya Urais vyama vingemsimamiaha Tundu Risu kwani ana nguvu kubwa uku akiwashukuru viongozi wa ACT Wazalendo Kwa kufanya mikutano Yao DSM amesema haya kwenye kamati kuu ya ACT Wazalendo ilipokutana Lamada hotel iliopo Ilala


Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment