Wile Majogoro Katibu wa Jimbo la Musoma Vijijini amesema wapinzani Musoma Awana nafasi tena amewataka Wana Musoma wamchague Kwa ngazi ya Udiwani kupitia ACT Wazalendo ili awaletee Maendeleo kwenye sekta ya Afya ,Elimu na Miundombinu
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment