Afsa wa Vijana wa Wilaya ya Ilala amewataka vijana na watoto wafike Kwa watendaji wa KATA na wilaya na wenyeviti wa serikali za mitaa ili wapate furusa mbalimbali na kujikwamuwa kiuchumi amesema wanatembelea makundi ya vijana na watoto waishio kwenye mazingira magumu ya mtaani Kwa kuwapa mafunzo ya taalumabalimbali .amelipongeza shirika la BABA WATOTO kwajitiada na juhudi wanazozitoa ya Kwa kuwakwamuwa vijana na watoto waishio kwenye mazingira magumu amesema haya siku ya vijana Duniani ambako uadhimishwa tarehe12 Mwezi 8 Kila mwaka
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment