Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB BANK Abdulmajid Nsekela akiambatana na viongozi wenzake akikabidhi Hundi ya Shiringi milioni Mia mbili fedha ya kitanzania kwaajili kwenda kugharamia Upasuaji wa Moyo Kwa Watoto 100 wa kitanzania kwenye taasisi ya Jakaya Kikwete kama inavyoonekana pichani .Mheshimiwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Hundi hii
.uku nae Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete prof Janabi akiwa amevalia koti lake jeupe akishuudia makanisani ya Hundi hii baada ya kumarizika Kwa CRDB BANK MARATHON jijini Dsm
No comments:
Post a Comment