Bobu Chacha Wangwe Kiongozi wa Jukwaa la Katiba (JUKATA) amevitaka vyama vya siasa nchini Tanzania viungane ili viiondoe CCM Madarakani ndipo vitaweza kushika Dora pia amevitaka vyama vya siasa kwenye Ilani zao endapo wakishika Dora ya nchi ya Tanzania wataendeleza swala la Katiba mpya
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment