Mzee Josefu Butiku Mkurugenzi wa Taasisi ya MWALIMU NYERERE amewataka viongozi waache ubinafsi ,kutisha watu,kuogopwa na ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kuendesha Uchaguzi wa Uhuru na haki na wasipitishe watu Kwa shinikizo la Dora . Name Mkurugenzi Mtendaji wa TAKUKURU John Mbunge amevitaka vyama vya siasa kutoludia rushwa ili wachaguliwe endapo wakibainika hatua Kali zitachukuliwa dhidi Yao Wamesema haya kwenye Mkutano Ulioandaliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzani ambako wadau mbalimbali wameshiriki jijini Dsm
No comments:
Post a Comment