Wednesday, 19 August 2020

JESHI LA POLISI LABAINISHA MIKAKATI MIZITO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IJP) Saimoni Siro amesema wamejipanga vizuri katika swala la kulinda Amani kipindi hiki cha Uchaguzi uku akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kufikisha vifaa vya Uchaguzi Kwa wakati na vituo vifunguliwe Kwa muda sahihi hii itasaidia Kutokiona vurugu amesema haya kwenye Mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na wadau mbalimbali.ikiwemo Jeshi la Polisi ,viongozi wa Dini na wadau wengine



Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment