Wednesday, 26 August 2020

TAASISI YA TMHS YAGUSWA NA KIWANGO KIKUBWA CHA TAKA NCHINI

Mkurugenzi Mtendaji Dr Chakou Halfani wa Taasisi ya TMHS amesema uzarishaji wa taka tani elfu kumi 10 kinachozalishwa kwa siku Mkoa wa Dsm ni kikubwa mno na ifikapo mwaka 2025 utakuwa tani elfu 12 Kwa siku ndio mwana wamekuja na mikakati ya kutoa elimu Kwa watu ili wazitumie Kwa Lengo 
Taka la kujiajili na kujikwamuwa kiuchumi  .Mkurugenzi Chakou Halfani  anaamini taka si u uchafu  bali nisehemu ya watu  kujipatia kipato amesema haya jijini Dsm kwenye Mkutano wa wadau wa Taka,serikali na watunga Sera 

Habari picha na Ally Thabiti


 

No comments:

Post a Comment