Wednesday, 5 August 2020

MEMBE KUUKWAA URAIS TANZANIA BARA

Aliekuwa Kada Nguli tena Mwana Chama  kindakindaki wa CCM Benadi Kamiliusi Membe atimae wajumbe wa Chama cha ACT Wazalendo wamempa Mamlaka ya Kuwania nafasi ya Urais kwenye Uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Mwezi 10 mwaka mwaka 2020  kupeperusha bendera Yao Kwa ngazi ya urais . Name Membe amewshukuru na kuwapongeza wajumbe wa Chama cha ACT Wazalendo na ameahidi atashinda Kwa kishindo na kuwa rais wa Tanzania bara



Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment