Naibu Katibu Mkuu Mwenezi wa ACT Wazalendo Janeth amesema kamati kuu ya ACT Wazalendo wamekutana kwaajili ya Maandalizi ya Halmashauri kuu Taifa na mkutano mkuu utakaofanyika tarehe 5 Mwezi 8 mwaka 2020 kwaajili ya kumpitisha Mgombea Urais Tanzania bara na Nzazibar na kuzindua Irani ya Uchaguzi ya ACT Wazalendo . Swala la makundi Maalim limepewa kipaumbele kwenye Irani ya ACT Wazalendo
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment