Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo amesema Maandalizi ya Mkuutano wa Halmashauri kuu na Mkutano Mkuu yamekamilika amesema haya mblele ya wajumbe 45 Sawa na asilimia 88 ambao wameudhuria Mkutano wa kamati kuu uku Ajenda 9 zikijadiliwa na wajumbe 6 wamepata hudhuru mbalimbali amesema haya kwenye hotel ya Lamada iyopo Ilala jijini DSM
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment