Wednesday, 12 August 2020

HAJATI SHAMIMU ATOA NASAA KWENYE UCHAGUZI MKUU

Kiongozi wa Dini Hajati Shamimu amewataka viongozi wa Dini watoe elimu makanisani na misikitini Kwa waumini wao jinsi ya kulinda Amani ,utulivu na Usalama kipindi hiki cha Uchaguzi na
 baada ya matokeo kutangazwa

Habari picha na Victoria Stanslaus
 

No comments:

Post a Comment