Mery Nyagabona  amewaomba Wakazi wa Tarime Mjini ifikapo tarehe 28 Mwezi 10 mwaka 2020 wampigie kura nyingi na zakutosha ili awe Mbunge wa Tarime Mjini kwani anatosha na anafaa kutatuwa matatizo ya Wana Tarime . Ikiwemo upatikanaji WA maji,ujenzi wa vituo vya Afya ,barabara na kuwainua wanawake na wanaume kiuchumi amekishukuru Chama chake cha NCCR Mageuzi Kwa kumpa nafasi ya ya Kuwania Ubunge Tarime Mjini Ametoa wito Kwa wanawake kuchangamkia furusa mbalimbali na jamii ziache mira potofu na destuli kandamizi dhidi ya mwanamke amesema haya kwenye jijini Dsm kwenye Mkutano Mkuu wa NCCR Mageuzi
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment