Tuesday, 18 October 2022

MBUNGE VICTOR KAWAWA AWAPIGANIA WATU WENYE ULEMAVU

 Mbunge Victor Kawawa ameitaka Mwal. Nyerere Memorial House kuweka miundo mbinu kwaajili ya watu wenye ulemavu pamoja na lugha za arama na maandishi ya nukta nundu kwenye vipeperushi.




Habari picha na Ally thabit

No comments:

Post a Comment