Kaimu Bi Naomi Lupimo amesema "wameweza kudhibiti uharibifu wa vyanzo vya maji na uchafuzi wa mazingira katika maeneo ya mabonde ya maji kwasababu yakuwa na sera nzuri ya mwaka 2002 kanuni bora na sheria namba 11 ya mwaka 2009".
Bi Naomi Lupimo" wizara yake ya maji inashirikiano mzuri na wizara nyinginezo katika kutunza, kulinda,kuhifadhi na kuboresha vyazo vya maji pamoja na mabonde ya maji dhidi ya wachafuzi wa mazingira na uharibifu wa vyazo vya maji" amesema hayo katika kilele cha madhimisho siku ya mazingira duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja jiji Dar es salaam.
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment