Thursday, 31 January 2019

TBS YAWATANGAZIA KIAMA KIZITO WAFANYA BIASHARA

Afsamkaguzi wa udhibiti ubora wa chakula shirika la viwango nchini Tanzania Tbs BARAKA MBAJIJE amewataka wafanya biashara wa vyakula  kutoingiza wala kusambaza vyakula vilivyo isha muda wake na visivyo na ubora watachukuliwa hatuwa kali za kisheria  kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2009  kifungu cha 27 ambako mtu atatozwa pesa milioni 20 kwa kuingiza bidhaa isiyo na ubora nakifungu cha30 kwaatakaye sambaza vyakula visivyo na ubora atatozwa pesa kiasi cha milioni 50 au milioni 100 amesema haya wakati Tbs ikiteketeza vyakula vya aina 8 ikiwemo jibini,siagi, penati bata, dhabibu kavu,tomato ,chilisosi na vengine vyenye thamani ya shiringi milioni 57 kutoka Uturuki vimeteketezwa jijini dar es salaam dampo la pugu


habari picha na Victoria stanslaus

No comments:

Post a Comment